Vodacom yasogeza huduma karibu kwa wakazi wa Masaki jijini Dar Es Salaam

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la Vodacom lililopo mtaa wa Haile Selassie Masaki leo. Wengine ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Stella Msofe (wa pili kushoto), Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen na Msimamizi wa duka, Emmanuel Makaki. Uzinduzi wa duka hilo, utasogeza karibu huduma za kampuni hiyo kwa wateja wake


Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kisasa la Vodacom lililopo mtaa wa Haile Selassie, Masaki jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen


Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen akimkabidhi zawadi Miriam Mushi kwa kutumia mtandao wa Vodacom kwa muda mrefu
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo  akimkabidhi zawadi Miriam Deus kwa kutumia mtandao wa Vodacom kwa muda mrefu
 

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
Previous Entries Rais Magufuli Aongoza Viongozi Pamoja Na Wananchi Kuaga Mwili Wa Aliyekuwa Kamishna Wa Maadili Marehemu Jaji Mstaafu Harold Nsekela Next Entries Job Opportunity at Multichoice Tanzania - Big Region Sales Manager