WAFAMASIA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA WAFAMASIA DUNIANI


Prof. Raphael Zozimus Sangeda wa Muhimbili akiwasilisha mada ya elimu juu ya Virusi, chanjo na mabadiliko ya virusi kuhusiana na Uviko-19 wakati wa madhimisho ya siku ya wafamasia Duniani yaliyofanyika Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar

Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othman Simai akifungua Mkutano wa siku ya Wafamasia Duniani uliofanyika Chuo cha Utalii Maruhubi Mjini Zanzibar. 

Baadhi wa wafamasia wakisikiliza mada mbalimbali zilizowasilishwa na watoa mada katika madhimisho ya siku ya wafamasia Duniani yaliyofanyia Ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Utalii Maruhubi.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafamasia Zanzibar Ame Omar Ame akichangia kuhusu kuongeza elimu wafamasia katika madhimisho ya siku ya wafamasia Duniani.

Mkuu wa ukaguzi wa dawa na utekelezaji (ZFDA) akiwasilisha mada yake ya kazi ya mamlaka za udhibiti katika ufuatiliaji wa chanjo za Uviko-19 katika maadhimisho ya siku ya Wafamasia Duniani.

Picha ya pamoja ya baadhi ya wafamasia walioshiriki katika madhimisho ya siku ya wafamasia Duniani.

Picha na Makame Mshenga.

Previous Entries YANGA SC BINGWA NGAO YA JAMII 2021 Next Entries 10 BORA NDANI YA LIGI KUU BARA HIZI HAPA

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.