Wafanyakazi Benki Ya Exim Washiriki NMB Marathon Kusaidia Matibabu Ya Fistula Kwa Kina Mama.

 

Katika kuunga mkono agenda ya kusaidia matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania hii leo wameungana na maelfu ya watanzania wengine akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kushiriki mbio za Hisani za NMB Marathon zilizokuwa na kauli mbiu ‘Mwendo wa Upendo,’ zikilenga kukusanya kiasi cha Sh Bilioni 1 ili kufanikisha mpango huo.

Mbali na kushiriki mbio hizo Benki hiyo pia ilitoa mchango wa fedha kiasi cha Sh Mil 10 kwa waandaaji wa mbio hizo  ili kuunga mkono jitihada hizo.

 

Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakijipongeza na medali zao baada ya kushiriki mbio za Hisani za NMB Marathon zilizokuwa na kauli mbiu ‘Mwendo wa Upendo,’ zikilenga kukusanya kiasi cha Sh Bilioni 1 ili kufanikisha mpango wa matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo mapema hii leo. Mbali na kushiriki mbio hizo Benki hiyo pia ilitoa mchango wa fedha kiasi cha Sh Mil 10 kwa waandaaji wa mbio hizo  ili kuunga mkono jitihada hizo

Tupo tayari kwa mbio! Ndivyo wanavyoonekana wakisema wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania walipojitokeza kushiriki mbio za Hisani za NMB Marathon zilizokuwa na kauli mbiu ‘Mwendo wa Upendo,’ zikilenga kukusanya kiasi cha Sh Bilioni 1 ili kufanikisha mpango wa matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo mapema hii leo. Mbali na kushiriki mbio hizo Benki hiyo pia ilitoa mchango wa fedha kiasi cha Sh Mil 10 kwa waandaaji wa mbio hizo  ili kuunga mkono jitihada hizo

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakishiriki mbio hizo. 

Previous Entries RC Kafulila Asikiliza Kero za Wananchi Kata ya Kiloleli, Awatoa Hofu ya Changamoto Zinazowakabili Next Entries Police Tanzania: Call For Interview at Jeshi la Polisi September, 2021

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.