Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mwanza  wakati wa tukio la kuaga mwili wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza Machi 24, 2021. . 

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulah, akitoa heshima  za mwisho kwa mwili ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza Machi 24, 2021. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana,  Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akitoa heshima  za mwisho kwa mwili ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza Machi 24, 2021. . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 24, 2021.

Mwili wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ukiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, Machi 24, 2021.