WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA BANDA LA PSPTB

 


https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo  (wa pili kushoto) akiwasili katika Jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), jijini Dar es Salaam, kuona huduma zinazotolewa na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo. Wa pili kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (katikati), akiangalia vipeperushi mbalimbali kuhusu huduma zinazotolewa na Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), jijini Dar es Salaam.Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee, akifurahia na wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha na Mipango, katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), jijini Dar es Salaam.

Previous Entries Wananchi wapata mwamko wa ukataji wa Leseni Next Entries Ecobank Win the African SME Bank of the Year Award for 2021