WEMA atoa povu zito baada ya kushambuliwa kuhusu ZARI, “Nina mdomo mchafu kama nikiamua”

 

WEMA atoa povu zito baada ya kushambuliwa kuhusu ZARI, “Nina mdomo mchafu kama nikiamua”

Wema Sepetu Ameandika Haya:

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Naomba niseme hivi, Sipendi chokochoko… Maana Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha sio… Kama maneno always yanaanziaga upande wa pili but ilivyo ada Wema ndo huonekana mwenye tatizo… Nimechoka… Cause mi mdomo mchafu ninao haswaaaa but kuamuaga kukaa kimya nisionekane mjinga basi… Its Eid at the end of the day… Sitaki chokochoko…‼️ Ifike point niachwe jamani…. Akhaaa…‼️Jus wanted to address this na sitohitaji maoni ya mtu yoyote… Mkadiscuss huko kwa page zenu na sitaki kuziona… Nitakuwa busy na Eid yangu mie… Hope everyone has fun… Too much Love from me to You.

VIDEO:

Previous Entries Job Opportunity at Asilia Lodges and Camps Ltd, Butler Next Entries AUDIO | Seneta Ft. T Touch – Matope | Download