YANGA SC YAICHAPA KEN GOLD 1-0 KWA MBINDE NA KUSONGA MBELE MICHUANO YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

BAO la penalti la Mrundi, Fiston Abdul Razak limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Azam Sports Federation Cup jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Yanga SC inasonga mbele Hatua ya 16 Bora na itakutana na mshindi kati ya Sahare All Stars na Tanzania Prisons zinazomenyana kesho.

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
Previous Entries Baba Mzazi wa Young Killer afunguka mazito Next Entries FA:YANGA 1-0 KEN GOLD